Mmea
huu unamanufaa sana kwa binadamu na wanyama. Vitu vinavotumika kutibu ni
majani, magome, matunda na mizizi.
Majani hutumika kuibu kujifungua kwa urahisi, convulsion,
oedema, kuvimba miguu, maumivu ya mwili na homa na kuumwa na nyoka. Matunda
hutumikla hutibu harufu nzuri mdomoni, homa, sore throat, nimonia( pneumonia)
na maumivu ya kifua.
Magome na mizizi hutibu maumivu ya meno, kulainisha
tumbo lililofunga(kutokenda haja kubwa) kikohozi, malaria, maumivu ya mwili,
ngiri(hernia), rheumatism, uvimbe na mjipu mwilini, maumivu ya meno, kukuanda
viungo vilivopooza, kisukari ukichanganya na mulimuli, pia hushusha chini
shinikizo la juu la damu(hbp) maumivu ya kichwa, homa, sickle cells, kifua
kikuu, magonjwa ya ngozi, urticaria, maumivu ya tumbo, kuhara,minyoo, kochocho,
kutapika, collie, amiba, minyoo, female sterility, uterine fibrous, magonjwa ya zinaa na kuongeza tendo
la ndoa kwa kuchanganya na nyama ya kuku.
Pia kwa wafugaji wa ng’ombe, ngamia na mbuzi magome na
mizizi hutumika kutibu homa, anaplasmosis, lever diseases na lumpy skin
diseases. pia majani hutibu maumivu ya tumbo ya ng’ombe. Majani na matundas ni
chakula kizuri cha mbuzi. Pia majani
yanaweza kupikwa na kuliwa kama mboga kwa binadamu. Vishina vya matawi vinafaa
kwa miswaki. Matunda na majani yanafaa kwa chain a kuongeza ladha ya supu.
Majivu ya majani machanga yana changanywa na mafuta ya wanyama na caustic soda
kutengeneza sabuni.
Ukifanya
jitihada za kututembelea ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo
homa ya matumbo (Typhoid), Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito(
Stretch Marks in Pregnancy), mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Magonjwa ya
ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali
ya saratani, kisukari, BP ya kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali
wakati wa hedhi (Dysmenorrhea), kutoka damu nyingi wakati wa hedhi
(Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini (Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa
hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi (vagina discharge), miguu kuwaka moto,
vidonda vya tumbo, kufunga kuharisha, matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine
mengi ambayo si rahisi kuyaorodhesha isipokuwa baadhi.
Na
kadri mgonjwa anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa
nalo na anahitaji tiba ipi.
Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Blogu: mazingiranp.blogspot.com