Kitunguu
saumu asili yake ni asia ya kati na kimekuwa kikilimwa kwa karne nyingi katika
nchi za mediteranian na uingereza kuanzia karne ya nne ya 16. Nchini china
kilijulikana miaka 3000 iliyopita kabla ya Kristo. Leo hii nchini China
kitunguu saumu kinatumika katika mapishi
mbalimbali na kutibu magonjwa mbalimbali. Kwa sasa kitunguu saumu kinalimwa
India, Philippine, Brazil,Mexico, na baadhi ya nchi za kiafrika ikiwemo Tanzania.
Kitunguu
saumu kina manufaa makubwa katika mwili wa binadamu, kiasi kwamba ni rafiki
mkubwa wa moyo,mbali na kuusaidia moyo usikumbwe na maradhi, kitunguu saumu pia
kinazuia saratani , huingizwa oksijeni inapotakiwa , hupunguza shinikizo la
damu na kolestrol, hupambana na septini, bacteria, kuganda damu na ute. Kiungo hicho
cha chakula huhami mwili dhidi ya
utitiri wa vimelea na bacteria, fangasi na maambukizi ya virusi vingine. Pia
huimarisha mishipa ya moyo na damu na husaidia kuzuia shambulizi la ugonjwa wa
saratani. Kitunguu saumu ni moja ya viungo asilia vinavyotia msukumo zaidi
wakati wa uzalishaji wa chembechembe nyeupe za damu.
Hata
kwa kuwapo mafanikio ya kisasa za kuondoa matatizio ya vijasumu (antibiotics)
na mkanganyiko wa mikrobaolojia, bado kitunguu saumu kinachojulikana na
wataalamu wengi wa afya kama tiba muhimu ya maradhi ya maambukizo. Kitunguu saumu
hupambana na maradhi tofauti ya utumbo na maradhi mengine ya maambukizo kama
vile kuhara damu, homa ya matumbo, mchango uzo na tegu. Kinatoa mafuta ya fushi
(fukivu ) yanayochujwa kupitia mapafu na kuyafanya kuwa tiba kabambe ya
matatizo ya maambukizo wakati wa kuvuta hewa kama mkamba (bronchi–tis ), ute, mafua
na kifaduro.
Mafuta
haya vilevile hutumika kutibu kifua kikuu na kusaidia kudhibiti tatizo la pumu.
Kitunguu saumu hupambana na maradhi ya
fangasi au ukungu kama ule utoao majimaji ya usaha, mabaka (choa) na kuhusu
ukuaji wa bacteria wa manufaa kwa mwili wa binadamu. Pia huweza kupunguza
makali ya virusi vya UKIMWI.
Moja
ya matumizi maarufu ya kitunguu saumu katika sayansi na teknolojia yapo katika ugonjwa wa mshituko wa mishipa ya
damu ( cardi vascular ) kinaingilia mfumo wa mtawanyo kupunguza viwango vya
mafuta katika damu na cholesterol na kupunguza uwezekano wa kuganda kwa damu.
Kwa
kawaida, kitunguu saumu hupunguza kasi ya shinikizo la damu na kuzuia
utengenezaji wa ziada wa mafuta kwenye mshipa wa damu. Utafiti wa karibuni
kabisa umeonesha kwamba kiungo hicho hupunguza ugumu katika mishipa ya damu inayozeeka.
Allicini
ni moja ya viambato vinavyotoa mchango mkubwa katika kuwezesha kitunguu saumu
kuzuia uzalishaji wa seli za saratani na kukuza uwezo wa mfumo wa kinga katika
kupunguza usambazaji wa uvimbe wenye kudhuru. Pia hutibu vidonda, sikio,
majipu, chunjua na kuimarisha nguvu za
uzazi (aphrodisiac)
Watanzania
tutumie vitunguu saumu japo vina harufu inayochukiza kwa kuimarisha afya zetu.
Ukifanya
jitihada za kututembelea ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo
homa ya matumbo (Typhoid), Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito(
Stretch Marks in Pregnancy), mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Magonjwa ya
ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali
ya saratani, kisukari, BP ya kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali wakati
wa hedhi (Dysmenorrhea), kutoka damu nyingi wakati wa hedhi (Menorrhagia),
kukawia kuingia hedhini (Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa hedhi (Menopause),
kulegea kwa uzazi (vagina discharge), miguu kuwaka moto, vidonda vya tumbo,
kufunga kuharisha, matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine mengi ambayo si rahisi
kuyaorodhesha isipokuwa baadhi.
Na
kadri mgonjwa anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa
nalo na anahitaji tiba ipi.
Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Blogu: mazingiranp.blogspot.com
No comments:
Post a Comment