Mchicha
nafaka umekuwa ukilimwa na wa Aztecs miaka 8000 iliyopita huko Mexico na Peru. Siku hizi unalimwa Afrika, India,
China, Russia na Amerika ya kusini na Kaskazini. Hapa Tanzania unalimwa kidogo
sana labda kwa kutokujua faida zake kiafya.
Mchicha
nafaka ni mchicha ambao umefanyiwa utafiti na kuonekana kuwa mbegu zake
zinaweza kutumika kama chakula. Mchicha nafaka unaweza kutumika kama mboga za
majani na mbegu. Mchicha nafaka ni nafaka
bora katika ulimwengu huu kwa sasa.
Unajulikana
kuwa ni nafaka bora ulimwenguni kwasababu ya virutubisho vingi ulivyonavyo.
Mchicha nafaka unavirutubisho vya vitamin, madini, nyuzinyuzi na Amino Acido. Mchicha
nafaka ni chanzo kizuri cha Protein,Calcium, Chuma, Magnesium, Potassium,
Phosphorus na vitamin A, C na E na Amino acids, lysine kutoka katika kiwango
cha AMINO ACID (Mchicha nafaka una Amino
acid 19% na unaweza kutengeneza lysine kiasi cha 5.9-7.1 ukilinganishwa na Maharage ya soya
yenye kiwango kikubwa AMINO ACID(3%) lakini yanaweza lysine kiasi cha 2.3 tu
(lysine ndiyo inayohusika na kinga mwilini). Mchicha nafaka una protini ya
Albumins na Globulins ikilinganishwa na protini iliyomo kwenye ngano itwayo
Prolamins ambayo ni ngumu na kusagika. (More soluble and digestible). Mchicha
nafaka una vitamin E sawa na mafuta ya Mzeituni (Olive oil). Baadhi ya magonjwa
yanazuilika au kutibiwa kwa kutumia mchicha nafaka ni kisukari, Magonjwa ya
moyo (Cardiovascular disease (CVD) Maumivu ya magoti ,maumivu ya vidonda vya
koo (mdomoni), Baridi Ya bisi ,minyoo aina ya tegu , kansa ya tumbo ,maziwa
,koo, mapafu nk, kupunguza uzee (Vitamins), Magonjwa ya ngozi ,kuzuia meno
kupata kutu ,shinikizo la damu,Huzuia mwili kufa ganzi , Huzuia udhaifu wa
misuli , leremu(cholesterol) kwa sababu ya kuwemo ndani ya mchicha nafaka
tocotrinols na phytosterols, zinazoondoa lehemu mbaya mwilini. Ugonjwa wa Celiac
na matumizi ya mchicha nafaka umethibitika kuwa unaongeza kinga ya mwili (CD4)
kwa waathirika wa Ukimwi nk
Pia
mchicha nafaka unaweza kutumika kuandaa vyakula mbalimbali kama Uji, Ugali, Chapati,
Mikate, Maandazi, Keki, Biskuti, supu, bisi, kuchanganya bisi kwenye wali ,
mboga za majani (majani ya mchicha) nk.
Watengenezaji
wa mikate ya ngano iliyokobolewa ni bora wakaanza kuchanganya mchicha nafaka na
ngano wataongeza viini lishe kwenye mikate kwa faida ya afya zetu. Pia mabaki
ya mchicha nafaka yanafaa kuandaa vyakula mbalimbali vya mifugo kama ngombe,
mbuzi, kuku, nguruwe nk.
Faida
zake kwa jamii itaweza kupata viini lishe (Nutrients) tokana na majani au mbegu
za mchicha kama protein, starch, madini mbalimbali na vitamin.jamii inaweza
kuongeza kipato kwa kuuza mbegu unga nk.
Jamii
kwa kutumia mchicha nafaka wataweza kujiongezea kinga na tiba ya maradhi
mbalimbali mwilini.
ANGALIZO
Mbegu
za mchicha nafaka zina weupe uliofubaa au rangi ya malai(cream).
Kuhusu
kupanda na mbegu wasiliana nasi.
Ukifanya jitihada za kututembelea
ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo homa ya matumbo (Typhoid),
Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito( Stretch Marks in Pregnancy),
mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Magonjwa ya ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya
mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali ya saratani, kisukari, BP ya
kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali wakati wa hedhi (Dysmenorrhea),
kutoka damu nyingi wakati wa hedhi (Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini
(Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi
(vagina discharge), miguu kuwaka moto, vidonda vya tumbo, kufunga kuharisha,
matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine mengi ambayo si rahisi kuyaorodhesha
isipokuwa baadhi.
Na kadri mgonjwa anapofika na
kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa nalo na anahitaji tiba ipi.
Mazingira
Natural Products
Mbeya
Simu;
+255 754 807401, +255 719 564276
Barua
pepe; mnp.kaka@gmail.com
Blogu:
mazingiranp.blogspot.com
Samaan hivi ili zaoo la mchicha lina soko
ReplyDeleteNaweza pata mbegu za huo mchicha nafaka
ReplyDelete