JE KUKU WAKO WANASUMBULIWA NA MAGONJWA
MATANO
FAHAMU YANAYOSUMBUA ZAIDI
1.
Coccidiosis
(koksidiasis)
DALILI
A.
Kinyesi
cha Damu au kilichochanganyika na damu au chenye rangi ya kutu (redish brown)
B.
Kushusha
mabawa chini/ kuvaa koti na kuzubaa
C.
Kupungua
uzito kudhoofika na baadae kufa
DAWA
ESB3, AMPROLIUM
Kuzuia ugonjwa
hakikisha banda ni safi pia safisha banda ni safi pia safisha vyombo vya
chakula na maji mara kwa mara (kila siku)
INFECTIOUS CORYZA (MAFUA MAKALI)
DALILI
i.
Kuvimba
uso na macho
ii.
Kukosa
hamu ya kula
iii.
Kupumua
kwas shida na kutoka ute wenye harufu mbaya puani
iv.
Kukohoa,
kudhoofika na hatimaye vifo
DAWA
1.
OXYTETRACYCLINE
(OTC,) Tylodox, trimazin na tylosin.
3.FOWL TYPHOID (TAIFODI
YA KUKU)
DALILI
a)
Uharo
wa njano au mweupe au mchanganyiko wa mweupe na njano (huu haugandi sehemu ya haja kubwa)
b)
Kukosa
hamu ya kula na kutochangamka.
c)
Vifo
ndani ya muda mfupi tangu dalili kujitokeza
DAWA
TRIMA FARM , ESB3 na TRIMAZINI
4. BACILLARY WHITE DIARRHEA (UHARO MWEUPE)
Huathiri zaidi
vifaranga wenye umri chini ya wiki tatu 3 ingawa Wakubwa pia wanaweza kuugua
DALILI
a)
Uharo
mweupe mzito unaoganda na kuziba sehemu
ya haja kubwa
b)
Kukosa
hamu ya kula
c)
Kupumua
kwa shida
d)
Vif
vya ghafla au polepole kwa vifaranga
DAWA
TRISULMYCIN,
SULFAD na TRIMAFARM
Angalizo safisha
sehemu ya haja kubwa kwa maji ya uvugu vugu yaliyochanganywa na dawa ya kuua vijidudu (disinfectant)
kwa taratibu sana.
FOWL POX (Ndui ya kuku )
Ndui ya Kuku Inaathiri
kuku wa rika zote lakini huathiri zaidi vifaranga
DALILI
Vidonda vikavu
mithili ya vipele au mabonge yenye rangi ya kahawia (brown) kwenye ngozi yaliyo
wazi kama machoni na kwenye Upanga Mashavu (WATTLES)
DRY POX (NDUI KAVU)
Kuhema kwa
shida, wakati mwingine kuacha mdomo wazi na kukoroma au kupumua kwa tabu kukosa
hamu ya kula au kushindwa kula kabisa na vifo kwa vifaranga.
TIBA
UGONJWA HUSABABISHWA NA VIRUSI VYA KUKU WACHANJE
Hakuna dawa ya
kutibu wape vitamin kuimarisha kinga na OTC (antibiotics) na kutibu magonjwa
nyemelezi