Tumaini
jipya la kutibu Saratani siku zijazo. Wadigo huita Mbokwe.
GRAVIOLA TREE (Annona
Senegalensis, Soursop-Guyabano kwa Kiswahili linaitwa Topetope au Stafeli ni mti ulioonyesha kufanya miujiza kutibu
saratani mbalimbali zinazosumbua wanadamu. Nchini Tanzania unaweza kupata
topetope au stafeli katika mikoa ya Rukwa, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Morogoro,
Pwani, Dar es Salaam, Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Bukoba n.k
Huko Brazil watafiti
wanahangaika na topetope au stafeli katika kutibu saratani aina mbalimbali kwa
kuwa imeonesha kwamba stafeli lina uwezo mkubwa wa kutibu saratani vizuri
kuliko tiba za dawa za viwandani (chemotherapy) aina ya Adriamycin-iliyozoeleka
kutibu saratani zaidi ya kuwa ndiyo tiba ya saratani, pia ina dawa ya kuua
bacteria na fangasi na wadudu ndani ya tumbo kama aina zote za minyoo!
Linashusha shinikizo la damu( Blood pressure) iliyo juu na linatuliza neva
zilizosisimka. Mungu alisema ni chakula alikuwa na maana hiyo.
Licha topetope (Stafeli) kutibu
saratani kwa usalama na rahisi bila madhara, au kupungua uzito wala kunyonyoka
nywele, pia linalinda na kujenga mfumo wa mwili usiambukizwe pia tunda
linachangamsha mwili na kumpa mtu afya ya ujana wake. Tafiti zinazoendelea kufanyika
huko Brazil na Korea ya Kusini zinaonyesha aina zote za seli za saratani huuawa
na topetope katika mwanzo tu wa kutumia stafeli na aina 12 za kwanza ikiwemo
saratani ya matiti, glandi ya prosteti, utumbo mpana, mapafu na kongosho ndizo
zinamalizwa mapema kabisa. Cha ajabu, tafiti zimeonyesha kuwa lishe ya topetope
ikiwa imeshayeyushwa na kufyonzwa mwilini, inaua seli za saratani na sio zile
zenye manufaa za mwili, ulimbo(gundi) ya mti huo hutibu vidonda vya kujikata.
Pia tunda la tope tope hutibu kuharisha,
kuhara damu na kutapika.
Ni muhimu kila familia
ikaangalia uwezekano wa kupanda miti ya stafeli/ topetope ili kuboresha afya
zetu.
Pia tunatibu Taifodi
(Typhoid), Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito( Stretch Marks in
Pregnancy), mkanda wa Jeshi (Hyper Zosters), Magonjwa ya ngozi, tumbo,
kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali ya saratani, kisukari,
BP ya kupanda, Maumivu makali wakati wa hedhi (Dysmenorrhea), kutoka damu
nyingi wakati wa hedhi (Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini (Amenorrhea),
matatizo ya kukoma kwa hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi (vagina discharge),
miguu kuwaka moto, vidonda vya tumbo na kufunga kuharisha, matatizo ya uvimbe
wa kizazi n.k
Mazingira
Natural Products
Mbeya
Simu;
+255 754 807401, +255 719 564276
Barua
pepe; mnp.kaka@gmail.com
Blogu;
mazingiranp.blogspot.com
No comments:
Post a Comment