Uyoga ni chakula,
tena wanaokifahamu vizuri wanakwambia
ni chakula kitamu. Mbali ya kuula , Uyoga UYOGA una faida
nyingi kwa binadamu. Uyoga kama chakula
una tumika kwa namna nyingi tofauti naunaliwa karibu
katika kira sehemu duniani. Wakati kwa AFRIKA, UYOGA unaonekana kwamba
nichakula cha kawaida ,kwaULAYA na MASHARIKI MBALI (ASIA) ni chakula muhimu na cha gharama kubwa. kwa leo nitaelezea uyoga aina
chaza (OYSTER MUSHROOM) Pleorotus florida (PFM) – mweupe Pleorotus floridanus(PFST
)-Kahawia na wa porini. Uyoga wa Pleorotus
florida (PFM) na Pleorotus Floridanus
(PFST) ndio unaolimwa sasa katika mikoa ya mbeya, iringa, Ruvuma, Morogoro, Rukwa,pwani DSM, Arusha ,Kilimanjaro
,NK. Watanzania naomba tuchangamkie
kilimo cha uyoga.
Kina faida nyingi. wengine wanaula katika saladi, wengine
wanatumia kuongeza ladha katika mayai,
nyama, mchuzi wa tambi, wengine wanatengeneza supu na matumizi mengine tofauti.
VIINI LISHE NA FAIDA ZA UYOGA KATIKA KULINDA AFYA YA MWANADAMU.
Siku hizi
watu wengi zaidi wanakuwa makini sana na
vyakula wanavyokula ilikulinda afya zao .Baadhi ya vyakula hususanif vile vyenye LEHEMU ama mafuta mengi
husababisha maradhi mbalimbali mwilini kama shinikizo la damu na mengineyo. Uyoga unapotumiwa kwa
chakula kamwe hauleti madhara yoyote
bali faida nyingi hazipatikani katika vyakula vingi tunavyotumia. Katika uyoga
kuna kiasi cha kutosha cha protini
,kabohaidreti na nishati. Lehemu (cholesterol)
ambayo husababisha shinikizo la damu na
mengineyo ambayo hupatikana katika aina mbalimbali za protini, haipo kabisa
katika uyoga.
Kadhalika ni katika protini za uyoga pekee ambako
hupatikana aina zote tisa (9) muhimu za amino asidi ambazo ni muhimu katika
kila mlo wa binadamu. Milinganisho ya protini, kabohaidreti , na lehemu na
nguvu kati ya UYOGA na aina mbalimbali
za nyama ni kama ifuatavyo . ASIDI ambazo ni muhimu katika kila mlo kamili wa
mwanadamu .
Virutubisho
|
Nyama
mbichi ya kuku
|
Nyama
mbichi ya ng’ombe
|
Samaki
kibua mbichi
|
Uyoga
|
Protini
(mg/100g)
|
20.5
|
2013
|
17.4
|
12.2
|
Kabohaidreti
(mg/100g)
|
0
|
0
|
0
|
5.1
|
Lehemu/
mafuta (mg/100g)
|
69
|
59
|
50
|
0
|
Nishati/Nguvu
(kj/100g)
|
506
|
514
|
518
|
334
|
Kadhalika uyoga una aina mbili za vitamini, zikiwemo
Thiamine (vitamin b1) riboflavin (vitaminiB2) Ascorbic Acid (vitamin C) Pamoja
na folic acid. Utumiaji wa mara kwa mara wa uyoga hutoa ulinzi wa kutosha dhidi
ya magonjwa yanayosababishwa na ukosefu
wa vitamin mwilini (kama vile Beriberi,Pellagra
Na Scurvy).
Uyoga mkavu una viini lishe vifuatavyo (1) Protini 20%
-45% (2) vitamini B,C,D,E,K, (3)
Madini Calcium, Phosphorus, Chuma, na kiasi
kidogo cha mafuta na mengineyo .
TIBA: Husaidia kutibu/ kupunguza shinikizo la
damu, kisukari, vidonda vya tumbo, saratani (kansa), Figo, moyo, uvimbe, vidonda
vya mwili, kiungulia, vipara, fangasi aina zote, kifua kikuu, kuongeza kinga ya
mwili na kuuwezesha kupigana na magonjwa mbalimbali, kuyeyusha na kusaga
takataka zenye asili ya kaboni. Huongeza maziwa kwa akina mama wanaonyonyesha,
saratani ya damu (Leukemia), Ini na mengineyo mengi.
Uyoga unafaa sana kwa waathirika wa UKIMWI.
Faida nyingine ya uyoga ni kusafisha mazingira kwa
vile uyoga huoteshwa kwa kutumia mabaki yatokayo mashambani, viwandani na nyasi
(majani ya maharagwe, mpunga, randa za mbao n.k). Kuotesha uyoga kwa kutumia
takataka hizo ambazo zingekuwa kero kwa jamii ni njia mojawapo ya kusafisha
mazingira na mabaki yakishatumika kuoteshea uyoga yanafaa sana kurutubisha
ardhi (Mbolea).
MADHARA/ HASARA: - Si uyoga wote unaofaa
kwa chakula, kwa sababu aina nyingine za uyoga una sumu inayoweza kumdhuru
mtumiaji hadi kumletea kifo. Hakikisha unakula uyoga unaokubalika na si kila
aina ya uyoga.
Jinsi ya kufanya kilimo cha uyoga au kuotesha
wasiliana nami.
Ukifanya
jitihada za kututembelea ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo
homa ya matumbo (Typhoid), Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito(
Stretch Marks in Pregnancy), mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Magonjwa ya
ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali
ya saratani, kisukari, BP ya kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali
wakati wa hedhi (Dysmenorrhea), kutoka damu nyingi wakati wa hedhi
(Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini (Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa
hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi (vagina discharge), miguu kuwaka moto,
vidonda vya tumbo, kufunga kuharisha, matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine
mengi ambayo si rahisi kuyaorodhesha isipokuwa baadhi.
Na
kadri mgonjwa anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa
nalo na anahitaji tiba ipi.
Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Blogu: mazingiranp.blogspot.com
Hakika ni zao lenye faida kubwa kiafya, kukuza kipato na kutunza mazingira.
ReplyDeleteTangu nimeanza kilimo hiki ni zaidi ya miaka mitatu sasa sijajuta.Tunauza uyoga mkavu na mbichi, mbegu bora,Tunatoa mafunzo na ushauri,uanzishwaji na usimamizi wa miradi ya Uyoga.
Tunapatikana Dar es Salaam.
Twitter/Instagram/Facebook: Hertu Farms
Simu: 0783182632/0713600915
Whatsup: 0757315931
Uyoga ule unaostahili kuliwa
ReplyDelete