Nandete
ni mmea unaostawi sana sehemu yanapotuama maji kwa muda mrefu na sehemu zenye
unyevu mwingi.Jina la kibotania huitwa Equisetum
Arvense. Waingereza huita Horsetail.Pia una majina mengine Bottle brush,Dutch
Rush,paddock pipes,pewterwort,Scouring Rush na Shavegrass.Wandali huita
Nandete.Mikoa inapopatikana Nandete ni Mbeya,
Iringa,Njombe,Rukwa,Tanga,Kilimanjaro na Ruvuma nk.
Nandete ina silicic acid,saponins,Flavonoids,sterols,tannins,Potassium,aluminum
salts,Manganisi,Magnesium,sulfur,silicate na calcium.Nandete hutibu magonjwa
mengi sana kama maambukizi ya njia ya mkojo(U.T.I),Mawe ya kwenye kibofu cha
mkojo,Figo,Edema,kukojoa kitandani bila mhusika kujua,kuunga mifupa iliyo
vunjika,Vidonda vya tumbo vinavyosababishwa na bacteria aina ya Helicobacter
pylori, kifua kikuu,Homa ya manjano,Osteoporosis(mifupa dhaifu),kupunguza
uzito,Frost bite,Hedhi inayozidi,bleeding ulcers,Jongo(Gout),Arthritis,kuongeza
utokaji wa mkojo,kuhara damu,Uvimbe wa glandular,Vidonda,kuteguka,maumivu ya
koo,kukuza nywele na kuwa nzito, vichomi,moyo kupiga mapigo yasiyo ya kawaida,
kutibu Tezi dume na kuongeza uzalishaji wa seli nyeupe mwilini (white blood
cells).
Inashauriwa
kutumia gramu 1-4 kwa siku kutengeneza chai ya
mmea huu.Kutengeneza Tincture inashauriwa kutumia mililita 2-6 kwa siku.Kwa
kibandiko cha kwenye ngozi(compress) tumia gramu 10 za mmea kwa lita moja ya
maji.
TAHADHARI
Hakikisha
unapata mmea wa aina ya Equisetum Arvense na si Equisetum palustre una toxic
alkaloids.
Na kadri mgonjwa na anahitaji tiba
ipi.anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa nalo
Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Blogu: mazingiranp.blogspot.com
No comments:
Post a Comment