Choroko
zao muhimu jamii ya mikunde linalolimwa na kutumiwa duniani kote, hasa nchi za
kiafrika na kiasia. Waingereza huita chickpea
. Ni chanzo kizuri cha wanga na protini, na protini yake inachukuliwa kuwa ni bora
kuliko ya mikunde mingine. Choroko ina
kiasi muhimu cha asidi ya amino za msingi kasoro asidi zilizo na salfa
“sulphur“ ambazo zinaweza kukamilishwa kwa kuongeza nafaka katika mlo wa kila
siku . Kwenye kuna hifadhi ya wanga ,
ikifuatiwa na nyuzinyuzi za chakula, oligosaccharides na sukari rahisi kama
vile glucose na sucrose. Ingawa kunapatikana kiasi kidogo cha mafuta ( lipids)
choroko ina utajiri wa asidi za mafuta
zisizodhuru muhimu kwa virutubisho kama vile linoleic na oleic acids. Kwenye
punje za choroko pia kunapatikana madini ya calcium , magnesium , phosphorus,
chuma na K.
Choroko
ni chanzo kizuri cha vitamin muhimu kama vile riboflavian ( vit B2), niacin (
vit B3), thiamin ( vit B1), Folate na vitamin A (B-Carotene) kama ilivyo
mikunde mingine choroko ina sababu za kuondoa virutubisho visivyofaa ( ant –
nutritional factors) kutokana na mbinu mbalimbali za mapishi choroko zina faida
kadhaa kiafya na muunganiko wake na
mikunde na nafaka nyingine unaweza kuwa na athari nzuri kwa magonjwa ya binadamu
kama vile kisukari aina ya pili ( type 2 diabetes) magonjwa
ya mmeng’enyo wa chakula, na baadhi ya saratani, kuondoa udhaifu wa mwili,
uchovu na mengineyo, homa, magonjwa ya mfumo wa kupumua na kukojoa, abscesses,
husaidia upungufu wa damu mwilini,
hurekebisha lehemu ( cholesterol) na mengineyo.
Kwa wale wenye kusumbuliwa na matatizo ya nguvu za
uzazi na hawana matatizo ya mzunguko wa
damu, mfumo wa neva mfumo wa mkojo,
homoni na kemikali na utendaji wa viungo
vingine ni vizuri wakatumia choroko mara kwa mara. Wananchi wa nchi za Asia kama India , China
,Japan , Indonesia na nyingine zinatumia sana choroko, soya, dengu nk. Nchi
hizi zina watu wengi duniani kuliko hata
ukubwa wa nchi zao.
Na utumiaji wa choroko mara kwa mara kwa watu wenye kisukari hurekebisha
kiwango cha sukari kwenye insulin. Watanzania
wote tuanze kutumia choroko mara kwa
mara ili kuimarisha nguvu za uzazi kwani sasa hivi vijana wengi wanalalamika kuwa hawana nguvu
za uzazi .
Ukifanya
jitihada za kututembelea ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo
homa ya matumbo (Typhoid), Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito(
Stretch Marks in Pregnancy), mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Magonjwa ya
ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali
ya saratani, kisukari, BP ya kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali
wakati wa hedhi (Dysmenorrhea), kutoka damu nyingi wakati wa hedhi
(Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini (Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa
hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi (vagina discharge), miguu kuwaka moto,
vidonda vya tumbo, kufunga kuharisha, matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine
mengi ambayo si rahisi kuyaorodhesha isipokuwa baadhi.
Na
kadri mgonjwa anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa
nalo na anahitaji tiba ipi.
Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Blogu: mazingiranp.blogspot.com
No comments:
Post a Comment