Pages

Sunday, August 24, 2014

DANDELION (Taraxacum Officinale) Mmea unaofaa kwa kuimarisha mifupa ya mwili





Dandelion ni mmea jamii ya mchunga. Ni mmea wenye faida nyingi kwa binadamu. Mmea huu asili yake ni ulaya na huko mashariki ya mbali India. Na hapa Tanzania hupatikana porini na majumbani kama maua. Na wenyeji wa Tanga, Pemba, Unguja na Mombasa (Kenya) huiita kwa jina la tumbaku ya wazuka. Dandelioni ina chumvi nyingi ambayo ina faida kwa kiwiliwili (mwili) cha binadamu na vilevile ina vitamin A, B, C ina protin, mafuta, wanga, chuma, calciaum, phosphorus, Magnesium, sodium, potassium, Thiamine, (B1), Riboflavin (B2) kuwemo kwa madini mengi ya asili ya magnesium ndiko kunakofanya mmea huu kuwa muhimu katika kuimarisha mifupa. Kinywaji cha juisi ya majani au miziz kinafaa sana kwa matatizo mifupa. Na juisi yake ikichanganywa na juisi ya karoti ndiyo inafaa sana. Ni dawa nzuri sana kwa ini kwani husaidia ini kufanya kazi yake vizuri na kutoa sumu zanye madhara. Dandelion (Tumbaku ya Wazuka) hutumika kama dawa ya Romatizim (Rheumatism) kukosa damu (Anemia), matatizo ya mkojo, chunjua (warts), matatizo mengi ya mwili figo, kisukari n.k
Pia dandelion hutumika kwenye saladi, supu na chai kwa ajili ya kuboresha afya zetu. Tunashauri kila familia ipande nyumbani kama wanavyopanda maua.
Ukifanya jitihada za kututembelea ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo homa ya matumbo (Typhoid), Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito( Stretch Marks in Pregnancy), mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Matatizo ya meno, Magonjwa ya ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali ya saratani, kisukari, BP ya kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali wakati wa hedhi (Dysmenorrhea), kutoka damu nyingi wakati wa hedhi (Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini (Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi (vagina discharge), miguu kuwaka moto, vidonda vya tumbo, kufunga kuharisha, matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine mengi ambayo si rahisi kuyaorodhesha isipokuwa baadhi.
Na kadri mgonjwa anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa nalo na anahitaji tiba ipi.
 


Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Barua pepe; mnp.kaka@gmail.com

4 comments:

  1. ninaweza kupata wapi mche wa hii dandelion? Halafu hii ni dawa nzuri sana ya asili ya kuwapa kinamama waliozeeka na kufikia menopause kwasababu huwa mifupa yao inaanza kuwa dhaifu.

    ReplyDelete
  2. unavyosema kulegea kwa uzazi (vaginal discharge) unamaanisha nini. more explanation please

    ReplyDelete