Ni mmea wa familia ya
hypoxidaceae (star lily family). Mmea ambao majina yake ya kawaida huitwa” star
flower, yellow star”
Huko Afrika Kusini mmea
huu hujulikana kwa majina mengi miracle muthi (muti), wonder potato, sterblom, gifbol na inkomfe.
Mmea huu ukiutazama kwa
macho haulingani na sifa ulizonazo, yote tumwachie mwenyezi mungu alieufanya
uwepo duniani .
Upatikanaji wa jina na
historia yake. Jina hypoxis lilitolewa na Linnaeus mwaka 1759 na lilipatikana kutoka maneno ya
kigiriki ‘hypo’(chini) na ‘oxy’( kali) Katika kurejelea ovari
iliyo chini kwenye kitako.
Wasifu mahsusi
unapatikana kutoka kigiriki hemera (siku)
na kallos (uzuri/urembo). Inadhaniwa
inamaanisha mauwa yenye maisha mafupi na kufanana na yungi yungi la siku.
Inapendekezwa kuwa jina
litumikalo KIMAKOSA “kiazi cha afrika” (African potato) lilitambulishwa na
vyombo vya habari mapema mwaka 1997 inawezekana baada ya kiafrikana (afrikaans)
“Afrika- patat” kutokana na viazi
linaweza kuwa “patat”au kiazi kitamu. Hata ivo ndilo jina lisilofaa zaidi, kwa
kuwa ni corm ( shina lilikandamizwa ardhini linalokaa wima) na sio kiazi/mzizi
unaoifadhi chakula cha mmea (shina lililovimba kama kiazi, likualo kwa ulalo).
Zaidi ya hapo hakuna marejeleo ya fasihi ya kisayansi kwa jina hili.
Kuna aina 76 za hypoxis
katika Afrika, aina 40 zinapatikana Africa ya kusini. Aina 16 nchini Africa
kusini si nzuri zina athari kwa afya za watu .
Kwenye hypoxis kuna
sitosterol au phytosterol ambazo ni muhimu. Hypoxis hemerocallidea umesaidia
sana kutibu magonjwa mbalimbali huko Afrika kusini, Botswana, Lesotho, na
Swaziland,
Huko afrika kusini
umewasaidia sana kuimarisha kinga ya mwili kwa walioathirika na HIV/ UKIMWI na
kupunguza makali ya kansa kwa kiwango kikubwa .
Hypoxis hemerocallidea
inatibu magonjwa yafuatayo kisukari I-II, kifua kikuu cha mapafu, kuongeza
kinga ya mwili (HIV/UKIMWI), Kibofu cha mkojo (prostate hyportropy) msongo wa
mawazo, kuharibu seli na NK zinazosababisha matezi, Saratani na majipu ,
minyoo, UTI (Urinary tract infection), kaswende, kuongeza mwilini na kupata
ahueni haraka na kupunguza makali ya saratani nk.
Pia majani yake hutumika
kutengenezea kamba. Majani na kiazi hutumika kutengeza kamba. Majani na kiazi
hutumika kutengenezea rangi nyeusi inayotumika kutengeneza rangi nyeusi
inatumika kufanya sakafu kuwa nyeusi.
Hapa Tanzania mmea huu
hupatikana porini katika mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa, Tanga, Rukwa na Katavi
nk. Mbegu zake zinaota kwa shida sana na kupendelea sehemu isiyolimwa na yenye
mawe. Kiazi chake huota kwa urahisi.
Ukifanya
jitihada za kututembelea ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo
homa ya matumbo (Typhoid), Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito(
Stretch Marks in Pregnancy), mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Magonjwa ya
ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali
ya saratani, kisukari, BP ya kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali
wakati wa hedhi (Dysmenorrhea), kutoka damu nyingi wakati wa hedhi
(Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini (Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa
hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi (vagina discharge), miguu kuwaka moto,
vidonda vya tumbo, kufunga kuharisha, matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine
mengi ambayo si rahisi kuyaorodhesha isipokuwa baadhi.
Na
kadri mgonjwa anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa
nalo na anahitaji tiba ipi.
Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Blogu: mazingiranp.blogspot.com
No comments:
Post a Comment