Tikiti maji linapendwa na watu
wengi kutokana na utamu wake. Na waingereza huita watermelon na milk melon.
Nchini
India hutumia aina mbili water_melon(citrullus vulgaris) na milk melon (cucumis
melo).
Tanzania
tunatumia sana aina Tikiti maji Water_melon(citrullus vulgaris).
Tunda hilo
lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini,
Mafuta,Nyuzinyuzi, Wanga,Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A,B6,C. Potasium,
Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi. Tunda
linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalika ka kwa misuli na mfumo wa fahamu
kufanya kazi zake vizuri na kuondoa katika hatari ya kupata shinikizo la damu.
Pia vitamin A ambayo husaidia kuboresha uhai wa macho na kuondoa sumu mwilini.
Vitamini C
inayotokana na tunda hilo inasaidia kuboresha kinga, kuponya majeraha, kukinga
uharibifu wa seli, kuboresha afya ya meno na Fizi na Vitamini, B6 inayosaidia ubongo kufanya kazi
na pia kuibadilisha protini na kuwa nishati.
Tunda hili
linapoliwa na mbegu zake lina uwezo wa kuamsha hisia za kimwili na kuondoa
matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume(Erectile Dysfunction). Tikiti maji lina
Virutubisho vinavyoweza kuleta Mhemuko wa kimwili huwa na nguvu za kufanya
tendo la ndoa bila kujali jinsia kwa maana kuwa tatizo hilo lipo kwa wanawake
na wanaume hivyo nivyema wawe na utaratibu wa kutumia tunda hilo.
Utumiaji
wa tikiti maji kwa wenye shida hiyo madhara kama wale wanao tumia vidonge vya
kuongeza nguvu hizo ili kufanikisha tendo hilo ambapolina umuhimu wa upekee kwa
binadamu yoyote kwa kuwa ndiyo husababisha chanzo cha binadamu mpya.
Tunda hilo
lina uwezo wa kusafisha FIGO pamoja na njia ya mkojo yaani urethra na
kulainisha vizuri mishipa ya damu. Kutokana na kulainisha mishipa ya damu
inayosababisha mzunguko wake mwilini kuwa mwepesi na kuzalisha virutubisho aina
ya eargininei ambavyo huchochea uzalishaji wa nitric oxide katika mishipa ya
damu na ongezeko la ufanyaji wa tendo la
ndoa.
Tikitimaji
hufaa kwa kupunguza za uzito wa mwili na kisukari.Mbegu zake unaweza kuzikaanga
hivihivi au kuzikaanga kwenye mafuta
kidogo kutegemea matakwa yako.
Kumbuka
mbegu za Tikitimaji zina protin asilimia 34 na asilimia 52 ya mafuta.
Ukifanya jitihada za kututembelea
ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo homa ya matumbo (Typhoid),
Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito( Stretch Marks in Pregnancy),
mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Magonjwa ya ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya
mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali ya saratani, kisukari, BP ya
kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali wakati wa hedhi (Dysmenorrhea),
kutoka damu nyingi wakati wa hedhi (Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini
(Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi
(vagina discharge), miguu kuwaka moto, vidonda vya tumbo, kufunga kuharisha,
matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine mengi ambayo si rahisi kuyaorodhesha
isipokuwa baadhi.
Na kadri mgonjwa anapofika na
kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa nalo na anahitaji tiba ipi.
Mazingira
Natural Products
Mbeya
Simu;
+255 754 807401, +255 719 564276
Barua
pepe; mnp.kaka@gmail.com
Blogu:
mazingiranp.blogspot.com
No comments:
Post a Comment