Pages

Saturday, September 20, 2014

MAAJABU YA HOLY BASIL (OCIMUM SANCTUM).





Mmea huu huheshimiwa sana na jamii ya wahindu (India).Majani yake hutumika katika kuabudu katika miungu yao. Wahindu huotesha katika vyungu vya kuoteshea maua. Na hukua kufikia kimo cha sentimita 75. Na asili ya Holy Basili ni India na huita TULSI .Na ilifika ulaya magharibi karne ya 16. Na sasa inalimwa sehemu nyingi ulimwenguni.
Majani ya TULSI yanatoa mafuta (essential oil) yenye eugenol, carvacrol, methyl eugenol,caryophyllene. Yana tabia ya kuharibu bacteria na wadudu. Majani yake hutumika kutibu homa, dengue, bronchitis, cataract, ringworm na magonjwa ya ngozi, kuuma kwa sikio na mafuta . Mizizi hupunguza jasho linachotokana na kuumwa malaria majani pia hutumika kutibu matatizo ya Ini, Colic, Matatizo ya usagaji wa chakula, dysentery gas, gastro-enteritis,Homa ambazo chanzo chake hakijulikani vizuri kwa kuchanganya na Iliki, mafua na kikohozi,Ringworm, Cardiac pain, cold, influenza, Bp ya kushuka, maumivu ya ribs, magonjwa ya ngozi,minyoo, matatizo ya ngozi, minyoo, matatizo ya njia ya mkojo, sorethroat, matatizo yaupumuaji, mawe ya kwenye figo, stress, maumivu ya kichwa. Matatizo kwa watoto kama kikohozi,mafua, homa, kuharisha na kutapika. Kuumwa na wadudu, matatizo ya macho, matatizo ya meno, kuumwa kichwa, gout na kisonono.
Mbegu hutumika kwa matatizo ya mfumo wa mkojo, kuharisha, dysentery sugu, kukosa choo, kisonono, piles, kikohozi,matatizo ya Figo, Homa, sores na  sinuses.
Ukifanya jitihada za kututembelea ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo homa ya matumbo (Typhoid), Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito( Stretch Marks in Pregnancy), mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Magonjwa ya ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali ya saratani, kisukari, BP ya kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali wakati wa hedhi (Dysmenorrhea), kutoka damu nyingi wakati wa hedhi (Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini (Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi (vagina discharge), miguu kuwaka moto, vidonda vya tumbo, kufunga kuharisha, matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine mengi ambayo si rahisi kuyaorodhesha isipokuwa baadhi.
Na kadri mgonjwa anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa nalo na anahitaji tiba ipi.



Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Barua pepe; mnp.kaka@gmail.com

No comments:

Post a Comment