Spinach ( Spinacia
Oleracia ) inajulikana kama mojawapo ya mbogamboga za kijani bora zaidi zenye
kuhifadhiwa na virutubisho muhimu na
element asilia. Asili yake ni mashariki ya kati ; ilijulikana eneo la joto la
uajemi na katika zama za kati spinachi
ilikuja kuwa maarufu nchini ufaransa ,Hispania na nchi nyingine za Ulaya kusini. Sasa
hulimwa duniani kote. Spinachi inapendeke na wanalishe wa kisasa kama chanzo
bora cha madini chuma , vitamin, madini na madini chumvi.
Spinachi ni mmea wenye
karoli ndogo na kati ya g100 ina kalori 17 tu. Spinachi ni tajiri wa madini
kama Magnesium, Potassium, Phosphorus, Calcium, shaba, Iodine, Zinki, Manganizi
na kiasi cha madini chuma, ina aside za foliki ( Folicic acid ) na vitamin
A,C,E,K na B Complex, pia ni tajiri wa asidi za amino na nyuzinyuzi, si hivyo
tu bali ina mafuta (Lipid ), madini chumvi na elementi muhimu. Faida za spinach ni pamoja na kuongeza
ukojoaji (diuretic), inatuliza, ni dutu inayopandisha kioevu, dawa za kuharisha,
kupooza na tabia nyinginezo, inazuia kansa, inapunguza kiwango cha sukari
mwilini, maumivu ya koo, haemorrhoids, upungufu wa damu, matatizo ya macho
kutokuona usiku, kuimarisha fizi, cystitis, nephiritis, wenyeshida ya kutoka
mkojo, wajawazito na wanaonyonyesha. Pia spinachi ikichanganywa na mbegu za
uwatu na asali ni nzuri kwa bronchitis, TB, asthma na kikohozi kikavu .
Mbogamboga hii inaweza
kutumika kuandaa milo mbalimbali, pia kuandaa milo na mbalimbali, pia kuandaa
dawa kali ya juisi ya spinachi kuna faida zisizoesabika za kiafya za spinach.
Tahadhali
Kwa kuwa kuna oxalic acid
wale wenye matatizo ya gout. Ini, mawe kwenye figo na arthritis wasitumie
spinach mpaka watibu matatizo hayo.
Ukifanya
jitihada za kututembelea ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo
homa ya matumbo (Typhoid), Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito(
Stretch Marks in Pregnancy), mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Magonjwa ya
ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali
ya saratani, kisukari, BP ya kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali
wakati wa hedhi (Dysmenorrhea), kutoka damu nyingi wakati wa hedhi
(Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini (Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa
hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi (vagina discharge), miguu kuwaka moto,
vidonda vya tumbo, kufunga kuharisha, matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine
mengi ambayo si rahisi kuyaorodhesha isipokuwa baadhi.
Na
kadri mgonjwa anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa
nalo na anahitaji tiba ipi.
Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Barua pepe; mnp.kaka@gmail.com
Blogu: mazingiranp.blogspot.com
No comments:
Post a Comment