Mmea huu umekuwa ukilimwa na
kustawi sehemu mbalimbali huko ulaya sehemu zenye udongo wa kichanga . Na pia
hustawi India, china, Taiwan, Africa na Malaysia . Jina la kitaalamu huitwa
chlorophytum borivianum na India shatawar au sootmuli .Na waingereza huita
Asparagus. Majani yake huliwa na mizizi yake hutumika kwa dawa .Na hapa
Tanzania hupatikana mikoa ya Iringa, Njombe, Dar es salaam na Arusha nk. kwenye
asparagus officinalis kuna Protin, mafuta kidogo, nyuzinyuzi, kabohidreti, calcium,
phosphorus, magnesium, chuma, vitamin A, Vitamin B-comprex kiasi na vitamin C,
Mizizi(rhizome) yake hufaa sana kwa wenye matatizo ya moyo uliyotanuka
na udhaifu wa moyo . Na ni chakula kinachofaa kwa moyo kikichanganywa na asali.
Na mizizi ya asparagus imekuwa
ikitumiwa katika dawa za Aryuvelda huko India kwa siku nyingi Kuamsha tendo la
ndoa. Asparagus ina mchango mkubwa wa kuchochea homoni za kijinsia hivyo
huamsha na kuongeza hisia za nguvu za kike na kiume . kwa sasa kumekuwa na
mahitaji makubwa huko mashariki ya kati na ulaya.Dawa hiyo huuzwa kwa kutumia
jina la safed musli huuzwa ghali. Na
huongeza ukubwa na uwezo kutanua misuli mirefu na unene wa utupu kama unatumiwa
mara kwa mara kwa wanaume. Na kupunguza matatizo ya uhanithi (impotency). Uwepo
wa saponins na alkaloids ndizo zinazo ongeza nguvu za uzazi.
Tahadhari.
Watu walio na matatizo ya mawe
kwenye figo, cystitis, kisukari, Nephritis au jongo(gout) wasitumie mpaka
watibu matatizo waliyonayo.
Mazingira
Natural Products
Mbeya
Simu;
+255 754 807401, +255 719 564276
No comments:
Post a Comment