Pilipili
hulimwa sehemu nyingi ulimwenguni. Pilipili ziko za aina nyingi ulimwenguni kama
Pilipili Kichaa, Pilipili Mbuzi, Paprika, capsicum, Bell pepper, Capsicum
Frutescens na cayenne pepper nk. Kwa leo nitaelezea pilipili ya cayenne pepper.
Jina
la kibotania huitwa Capsicum Anuum, Waingereza huita cayenne pepper.
Cayenne
peppers ina vitamini A,B,C,E, Betacarotene,
Chuma, Phosphorus, Calcium, Thiamine, Riboflavin na Niacin nk.
Pilipili
aina hii wengi hutumia kama kiungo katika mapishi yao mbalimbali. Pilipili ina
kimeng’enyo aina ya Capsaicin ambacho kina manufaa makubwa kwa mwili wa
binadamu.
Watu wa
mashariki ya mbali kama India,Thailand nk hutumia sana pilipili katika vyakula
vyao na ni mara chache sana hushambuliwa na matatizo ya moyo. Pilipili hii ikitumika
vizuri huzuia kushambuliwa kwa Moyo na kufanya usipate na HBP na hupunguza
uwezekano wa kupata kiharusi. Pilipili hutibu vidonda vya tumbo japo watu wengi
huona kama inaleta vidonda vya tumbo. Inapotumiwa na wenye vidonda vya tumbo
mwanzoni tumbo huuma sana lakini kadri unavyoendelea kutumia tumbo huacha
kuuma. Pilipili hutibu maummivu ya viungo
(baridi ya yabisi) rheumatism, kuteguka, maumivu ya misuri, kuvimba kwa
viungo (arthritis) maumivu ya kiuno, na kuuma kwa mshipa wa nyuma ya paja. Twanga
kijiko kimoja kikubwa cha pilipili mbichi au kavu na kijiko kimoja kikubwa cha
mafuta ya mawese. Mchue mgonjwa kwa mchanganyiko huu kwa nguvu sana hadi asikie
maumivu.Na uendelee kuviweka viungo katika hali ya joto. Tumbo kujaa hewa na
bawasiri ongeza pilipili katika chakula chako. Kisukari cha miguu tumia kama
maumivu ya viungo , lakini tibu miguu kwa uangalifu isichubue ngozi. Magonjwa
ya ngozi na mkanda wa jeshi (herpers zoster) hutumia mafuta ya mawese
yaliochanganywa na pilipili kwa kiasi ambacho mgonjwa atakuwa bado anauwezo wa kuvumilia
maumivu.
Pilipili hutibu
Arteriosclerosis, Asthma, Bronchitis, Mafusa, Kikohozi, kutosagika vizuri kwa
chakula, Homa ya manjano, Bandama, Figo, Pancreas, Flu, na Varicose veins.
Tumia kijiko cha
chai cha pilipili weka kwenye kikombe cha maji yaliyochemka. Kunywa nusu
kikombe mara tatu kwa siku mpaka mgonjwa apone.
Kutibu vidonda
weka unga wa pilipili juu ya vidonda
Pilipili
hutumika kutengeneza sosi ya pilipili nk.
Pia tunatoa ushauri, mafuta kwa waliopooza na
wanobabuka na jua kama Albino (Herbal sunscreen oil) na Tiba.
Mazingira
Natural Products
Simu:
+225 754 807401-0719 564 276
Barua
pepe:mnp.kaka@gmail.com
Blogu:mazingiranp.blogspot.com
No comments:
Post a Comment