Pages

Wednesday, April 23, 2014

MIUJIZA YA MJAFIRI (ZANTHOYLYUM CHALYBEUM Eng)





Mmea huu hutambulika sehemu nyingi za afrika mashariki Kenya, Uganda, Rwanda na Tanzania. Katika Tanzania mmea huu hutambulika kama mjafiri kwa kiswahil na wenyeji wa mkoa wa mbeya.huuuita pupwe (popwe). Wafipa huita popwe, wahaya huita entare ye irungu, wagogo huita mhumingu, wazaramo huita mnungu, waarusha huita oluisuki, warangi huita mulungu na waingerza huita knobwood. Mmea huu huweza kukua na kufikia kimo cha zaidi ya mita 10. Ajabu yake mmea huu una nundu zenye ncha kwenye shina la mti wote kiasi kwamba huwezi kukwea kwa kutumia tumbo.
Mmea huu unamanufaa sana kwa binadamu na wanyama. Vitu vinavotumika kutibu ni majani, magome, matunda na mizizi.
Majani hutumika kuibu kujifungua kwa urahisi, convulsion, oedema, kuvimba miguu, maumivu ya mwili na homa na kuumwa na nyoka. Matunda hutumikla hutibu harufu nzuri mdomoni, homa, sore throat, nimonia( pneumonia) na maumivu ya kifua.
Magome na mizizi hutibu maumivu ya meno, kulainisha tumbo lililofunga(kutokenda haja kubwa) kikohozi, malaria, maumivu ya mwili, ngiri(hernia), rheumatism, uvimbe na mjipu mwilini, maumivu ya meno, kukuanda viungo vilivopooza, kisukari ukichanganya na mulimuli, pia hushusha chini shinikizo la juu la damu(hbp) maumivu ya kichwa, homa, sickle cells, kifua kikuu, magonjwa ya ngozi, urticaria, maumivu ya tumbo, kuhara,minyoo, kochocho, kutapika, collie, amiba, minyoo, female sterility, uterine  fibrous, magonjwa ya zinaa na kuongeza tendo la ndoa kwa kuchanganya na nyama ya kuku.
Pia kwa wafugaji wa ng’ombe, ngamia na mbuzi magome na mizizi hutumika kutibu homa, anaplasmosis, lever diseases na lumpy skin diseases. pia majani hutibu maumivu ya tumbo ya ng’ombe. Majani na matundas ni chakula kizuri  cha mbuzi. Pia majani yanaweza kupikwa na kuliwa kama mboga kwa binadamu. Vishina vya matawi vinafaa kwa miswaki. Matunda na majani yanafaa kwa chain a kuongeza ladha ya supu. Majivu ya majani machanga yana changanywa na mafuta ya wanyama na caustic soda kutengeneza sabuni.
Ukifanya jitihada za kututembelea ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo homa ya matumbo (Typhoid), Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito( Stretch Marks in Pregnancy), mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Magonjwa ya ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali ya saratani, kisukari, BP ya kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali wakati wa hedhi (Dysmenorrhea), kutoka damu nyingi wakati wa hedhi (Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini (Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi (vagina discharge), miguu kuwaka moto, vidonda vya tumbo, kufunga kuharisha, matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine mengi ambayo si rahisi kuyaorodhesha isipokuwa baadhi.
Na kadri mgonjwa anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa nalo na anahitaji tiba ipi.

Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Barua pepe; mnp.kaka@gmail.com