Pages

Saturday, September 6, 2014

MMEA WA UWATU (FENUGREEK,TRIGONELLA FOENUM-GRAECUM)



Mmea wa uwatu (fenugreek) asili yake ni ulaya mashariki na Ethiopia. Pia unastawi sana nchini india na Pakistani . Hapa nchini tanzania unalimwa visiwa vya Unguja na Pemba. Mmea huu unastawi hadi kufikia kimo cha sm 30-80.
Majani yana unyevu , protini, madini, nyuzinyuzi, wanga, calcium, phosphorus, chuma, carotene, thiamine(B1), ribofravin(B2), miacin(B3) na vitamin C
Mbegu ya uwatu ina unyevu kidogo, protini, mafuta kidogo, madini, nyuzinyuzi, wanga, calcium, phosphorus, carotene, thiamine, riboflavin, na Niacin. Pia kuna baadhi ya alkaloids zinapatikana na kwenye mbegu, inaitwa Alkaloid Trigonelline na choline( Vit.B) mafuta ya saponin.
Hapa Tanzania  mbegu za uwatu hutumika kutengeneza achali ya embe na mbilimbi nk.
Mmea wa uwatu ni mzuri sana kwa tiba. Matumizi ya mara kwa mara huboresha mwili na kuwa na afya njema.
Majani ya uwatu hutibu matatizo ya mfumo wa chakula, anaemia,kutosaga chakula, gesi, ini,  ngozi kuwasha , sores, uvimbe (tumours), vidonda(wounds), biliousness, matatizo ya tumbo, kuumwa kichwa, kukosa usingizi, kukosa choo (constipation), vidonda vya tumbo, kunyonyoka nywele na kudumaa, vidonda vya mdomoni, chunusi, majipu, kuvimba mwili.
Mbegu zinatibu homa, seli zilizokufa za kuonja na kunusa (deadened sense of taste and smell), mfumo wa upumuaji (respiratory) kama bronchitis, influenza sinusitis, catarrh na nimonia( pneumonia), Kisukari, vidonda vya tumbo , kuongeza maziwa kwa akina mama na kukuza matiti, koo, leucorrhoea na mba.
Faida za majani yakitumika kupaka uso mara kwa mara hufanya uso uonekane mzuri na husaidia kukuza nywele. Pia hufanya mtu asiwe na mikunjo usoni, mba, na uso kutokuwa mkavu na kuonekana kijana kila wakati, harufu mbaya mdomoni na mwilini.
Wahindi hutengeneza mboga, juice na kikolezo kwenye vyakula na huita methi.
Watanzania tuanze kuchangamkia kulima katika bustani zetu ili kupata faida zake.
Ukifanya jitihada za kututembelea ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo homa ya matumbo (Typhoid), Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito( Stretch Marks in Pregnancy), mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Magonjwa ya ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali ya saratani, kisukari, BP ya kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali wakati wa hedhi (Dysmenorrhea), kutoka damu nyingi wakati wa hedhi (Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini (Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi (vagina discharge), miguu kuwaka moto, vidonda vya tumbo, kufunga kuharisha, matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine mengi ambayo si rahisi kuyaorodhesha isipokuwa baadhi.
Na kadri mgonjwa anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa nalo na anahitaji tiba ipi.

Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Barua pepe; mnp.kaka@gmail.com


5 comments:

  1. Dr kanyas mtaalamu wa tiba asili anatibu magonjwa yote..kisukar ..athma ..bp..figo...pia anazodawa kwa ajili ya nguvu za kiume pia anazo dawa kwa ajili ya kurefusha na kunenepeaha uume ..dawa ni mitishamba asili.0764839091..wa mikoan mtatumiwa kwa njia ya basi

    ReplyDelete
  2. Dr KANYAS ..MTAALAMU WA TIBA ASILI DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME NA ZA KUREFUSHA UUME NA KUNENEPESHA UUME DAWA NI MITISHAMBA ASIL..pia anazo dawa nyingine kwa ajili ya maradhi mbalimbali mtafute kupitia ..0764839091

    ReplyDelete
  3. Nikiutaka unga wake napata wapi

    ReplyDelete
  4. Naitaji unga wake naupata wapi

    ReplyDelete