Pages

Thursday, August 31, 2017

NANDETE TIBA YA MAAMBUKIZI YA NJIA YA MKOJO (U.T.I)





Nandete ni mmea unaostawi sana sehemu yanapotuama maji kwa muda mrefu na sehemu zenye unyevu mwingi.Jina la kibotania huitwa Equisetum Arvense. Waingereza huita Horsetail.Pia una majina mengine Bottle brush,Dutch Rush,paddock pipes,pewterwort,Scouring Rush na Shavegrass.Wandali huita Nandete.Mikoa inapopatikana Nandete ni Mbeya, Iringa,Njombe,Rukwa,Tanga,Kilimanjaro na Ruvuma nk.
 Nandete ina silicic acid,saponins,Flavonoids,sterols,tannins,Potassium,aluminum salts,Manganisi,Magnesium,sulfur,silicate na calcium.Nandete hutibu magonjwa mengi sana kama maambukizi ya njia ya mkojo(U.T.I),Mawe ya kwenye kibofu cha mkojo,Figo,Edema,kukojoa kitandani bila mhusika kujua,kuunga mifupa iliyo vunjika,Vidonda vya tumbo vinavyosababishwa na bacteria aina ya Helicobacter pylori, kifua kikuu,Homa ya manjano,Osteoporosis(mifupa dhaifu),kupunguza uzito,Frost bite,Hedhi inayozidi,bleeding ulcers,Jongo(Gout),Arthritis,kuongeza utokaji wa mkojo,kuhara damu,Uvimbe wa glandular,Vidonda,kuteguka,maumivu ya koo,kukuza nywele na kuwa nzito, vichomi,moyo kupiga mapigo yasiyo ya kawaida, kutibu Tezi dume na kuongeza uzalishaji wa seli nyeupe mwilini (white blood cells).
Inashauriwa kutumia gramu 1-4 kwa siku kutengeneza chai ya  mmea huu.Kutengeneza Tincture inashauriwa kutumia mililita 2-6 kwa siku.Kwa kibandiko cha kwenye ngozi(compress) tumia gramu 10 za mmea kwa lita moja ya maji.
TAHADHARI
Hakikisha unapata mmea wa aina ya Equisetum Arvense na si Equisetum palustre una toxic alkaloids.                                         
Na kadri mgonjwa na anahitaji tiba ipi.anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa nalo
 

Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Barua pepe; mnp.kaka@gmail.com

No comments:

Post a Comment