Pages

Saturday, September 6, 2014

MIUJIZA YA HYPOXIS HEMEROCALLIDEA FISCH.




Ni mmea wa familia ya hypoxidaceae (star lily family). Mmea ambao majina yake ya kawaida huitwa” star flower, yellow star”
Huko Afrika Kusini mmea huu hujulikana  kwa majina mengi miracle muthi (muti), wonder potato, sterblom, gifbol na inkomfe.
Mmea huu ukiutazama kwa macho haulingani na sifa ulizonazo, yote tumwachie mwenyezi mungu alieufanya uwepo duniani .
Upatikanaji wa jina na historia yake. Jina hypoxis lilitolewa na Linnaeus  mwaka 1759 na lilipatikana kutoka maneno ya kigiriki ‘hypo’(chini) na ‘oxy’( kali) Katika kurejelea ovari iliyo chini kwenye kitako.
Wasifu mahsusi unapatikana kutoka kigiriki hemera (siku) na kallos (uzuri/urembo). Inadhaniwa inamaanisha mauwa yenye maisha mafupi na kufanana na yungi yungi la siku.
Inapendekezwa kuwa jina litumikalo KIMAKOSA “kiazi cha afrika” (African potato) lilitambulishwa na vyombo vya habari mapema mwaka 1997 inawezekana baada ya kiafrikana (afrikaans) “Afrika- patat” kutokana na viazi linaweza kuwa “patat”au kiazi kitamu. Hata ivo ndilo jina lisilofaa zaidi, kwa kuwa ni corm ( shina lilikandamizwa ardhini linalokaa wima) na sio kiazi/mzizi unaoifadhi chakula cha mmea (shina lililovimba kama kiazi, likualo kwa ulalo). Zaidi ya hapo hakuna marejeleo ya fasihi ya kisayansi kwa jina hili.
Kuna aina 76 za hypoxis katika Afrika, aina 40 zinapatikana Africa ya kusini. Aina 16 nchini Africa kusini si nzuri zina athari kwa afya za watu .
Kwenye hypoxis kuna sitosterol au phytosterol ambazo ni muhimu. Hypoxis hemerocallidea umesaidia sana kutibu magonjwa mbalimbali huko Afrika kusini, Botswana, Lesotho, na Swaziland,
Huko afrika kusini umewasaidia sana kuimarisha kinga ya mwili kwa walioathirika na HIV/ UKIMWI na kupunguza makali ya kansa kwa kiwango kikubwa .
Hypoxis hemerocallidea inatibu magonjwa yafuatayo kisukari I-II, kifua kikuu cha mapafu, kuongeza kinga ya mwili (HIV/UKIMWI), Kibofu cha mkojo (prostate hyportropy) msongo wa mawazo, kuharibu seli na NK zinazosababisha matezi, Saratani na majipu , minyoo, UTI (Urinary tract infection), kaswende, kuongeza mwilini na kupata ahueni haraka na kupunguza makali ya saratani nk.
Pia majani yake hutumika kutengenezea kamba. Majani na kiazi hutumika kutengeza kamba. Majani na kiazi hutumika kutengenezea rangi nyeusi inayotumika kutengeneza rangi nyeusi inatumika kufanya sakafu kuwa nyeusi.
Hapa Tanzania mmea huu hupatikana porini katika mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa, Tanga, Rukwa na Katavi nk. Mbegu zake zinaota kwa shida sana na kupendelea sehemu isiyolimwa na yenye mawe. Kiazi chake huota kwa urahisi.
Ukifanya jitihada za kututembelea ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo homa ya matumbo (Typhoid), Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito( Stretch Marks in Pregnancy), mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Magonjwa ya ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali ya saratani, kisukari, BP ya kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali wakati wa hedhi (Dysmenorrhea), kutoka damu nyingi wakati wa hedhi (Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini (Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi (vagina discharge), miguu kuwaka moto, vidonda vya tumbo, kufunga kuharisha, matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine mengi ambayo si rahisi kuyaorodhesha isipokuwa baadhi.
Na kadri mgonjwa anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa nalo na anahitaji tiba ipi.
 

Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Barua pepe; mnp.kaka@gmail.com

No comments:

Post a Comment