Pages

Saturday, September 20, 2014

SPINACH (SPINACIA OLERACIA




Spinach ( Spinacia Oleracia ) inajulikana kama mojawapo ya mbogamboga za kijani bora zaidi zenye kuhifadhiwa na virutubisho  muhimu na element asilia. Asili yake ni mashariki ya kati ; ilijulikana eneo la joto la uajemi na katika zama za kati spinachi  ilikuja kuwa maarufu nchini ufaransa ,Hispania  na nchi nyingine za Ulaya kusini. Sasa hulimwa duniani kote. Spinachi inapendeke na wanalishe wa kisasa kama chanzo bora cha madini chuma , vitamin, madini na madini chumvi.
Spinachi ni mmea wenye karoli ndogo na kati ya g100 ina kalori 17 tu. Spinachi ni tajiri wa madini kama Magnesium, Potassium, Phosphorus, Calcium, shaba, Iodine, Zinki, Manganizi na kiasi cha madini chuma, ina aside za foliki ( Folicic acid ) na vitamin A,C,E,K na B Complex, pia ni tajiri wa asidi za amino  na nyuzinyuzi,  si hivyo  tu bali ina mafuta (Lipid ), madini chumvi na elementi muhimu.  Faida za spinach ni pamoja na kuongeza ukojoaji (diuretic), inatuliza, ni dutu inayopandisha kioevu, dawa za kuharisha, kupooza na tabia nyinginezo, inazuia kansa, inapunguza kiwango cha sukari mwilini, maumivu ya koo, haemorrhoids, upungufu wa damu, matatizo ya macho kutokuona usiku, kuimarisha fizi, cystitis, nephiritis, wenyeshida ya kutoka mkojo, wajawazito na wanaonyonyesha. Pia spinachi ikichanganywa na mbegu za uwatu na asali ni nzuri kwa bronchitis, TB, asthma na kikohozi kikavu .
Mbogamboga hii inaweza kutumika kuandaa milo mbalimbali, pia kuandaa milo na mbalimbali, pia kuandaa dawa kali ya juisi ya spinachi kuna faida zisizoesabika za kiafya za spinach.
Tahadhali
Kwa kuwa kuna oxalic acid wale wenye matatizo ya gout. Ini, mawe kwenye figo na arthritis wasitumie spinach mpaka watibu matatizo hayo.
Ukifanya jitihada za kututembelea ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo homa ya matumbo (Typhoid), Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito( Stretch Marks in Pregnancy), mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Magonjwa ya ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali ya saratani, kisukari, BP ya kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali wakati wa hedhi (Dysmenorrhea), kutoka damu nyingi wakati wa hedhi (Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini (Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi (vagina discharge), miguu kuwaka moto, vidonda vya tumbo, kufunga kuharisha, matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine mengi ambayo si rahisi kuyaorodhesha isipokuwa baadhi.
Na kadri mgonjwa anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa nalo na anahitaji tiba ipi.
 

Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Barua pepe; mnp.kaka@gmail.com

No comments:

Post a Comment