Pages

Saturday, September 20, 2014

UMUHIMU WA TIKITI MAJI (CITRULLUS VULGARIS & CUCUMIS MELO).




Tikiti maji linapendwa na watu wengi kutokana na utamu wake. Na waingereza huita watermelon na milk melon.
Nchini India hutumia aina mbili water_melon(citrullus vulgaris) na milk melon (cucumis melo).
 
Tanzania tunatumia sana aina Tikiti maji Water_melon(citrullus vulgaris).
Tunda hilo lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta,Nyuzinyuzi, Wanga,Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A,B6,C. Potasium, Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi. Tunda linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalika ka kwa misuli na mfumo wa fahamu kufanya kazi zake vizuri na kuondoa katika hatari ya kupata shinikizo la damu. Pia vitamin A ambayo husaidia kuboresha uhai wa macho na kuondoa sumu mwilini.
Vitamini C inayotokana na tunda hilo inasaidia kuboresha kinga, kuponya majeraha, kukinga uharibifu wa seli, kuboresha afya ya meno na Fizi na  Vitamini, B6 inayosaidia ubongo kufanya kazi na pia kuibadilisha protini na kuwa nishati.
Tunda hili linapoliwa na mbegu zake lina uwezo wa kuamsha hisia za kimwili na kuondoa matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume(Erectile Dysfunction). Tikiti maji lina Virutubisho vinavyoweza kuleta Mhemuko wa kimwili huwa na nguvu za kufanya tendo la ndoa bila kujali jinsia kwa maana kuwa tatizo hilo lipo kwa wanawake na wanaume hivyo nivyema wawe na utaratibu wa kutumia tunda hilo.
Utumiaji wa tikiti maji kwa wenye shida hiyo madhara kama wale wanao tumia vidonge vya kuongeza nguvu hizo ili kufanikisha tendo hilo ambapolina umuhimu wa upekee kwa binadamu yoyote kwa kuwa ndiyo husababisha chanzo cha binadamu  mpya.
Tunda hilo lina uwezo wa kusafisha FIGO pamoja na njia ya mkojo yaani urethra na kulainisha vizuri mishipa ya damu. Kutokana na kulainisha mishipa ya damu inayosababisha mzunguko wake mwilini kuwa mwepesi na kuzalisha virutubisho aina ya eargininei ambavyo huchochea uzalishaji wa nitric oxide katika mishipa ya damu na ongezeko la ufanyaji wa tendo  la ndoa.
Tikitimaji hufaa kwa kupunguza za uzito wa mwili na kisukari.Mbegu zake unaweza kuzikaanga hivihivi au kuzikaanga kwenye mafuta  kidogo kutegemea matakwa yako.
Kumbuka mbegu za Tikitimaji zina protin asilimia 34 na asilimia 52 ya mafuta.
Ukifanya jitihada za kututembelea ofisini utajua tunatibu maradhi mengine pia ikiwamo homa ya matumbo (Typhoid), Malaria, michirizi inayosababishwa na ujauzito( Stretch Marks in Pregnancy), mkanda wa Jeshi (Herper Zosters), Magonjwa ya ngozi, tumbo, kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa gesi tumboni, kupunguza makali ya saratani, kisukari, BP ya kupanda. Mengine ni pamoja na maumivu makali wakati wa hedhi (Dysmenorrhea), kutoka damu nyingi wakati wa hedhi (Menorrhagia), kukawia kuingia hedhini (Amenorrhea), matatizo ya kukoma kwa hedhi (Menopause), kulegea kwa uzazi (vagina discharge), miguu kuwaka moto, vidonda vya tumbo, kufunga kuharisha, matatizo ya uvimbe wa kizazi na mengine mengi ambayo si rahisi kuyaorodhesha isipokuwa baadhi.
Na kadri mgonjwa anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa nalo na anahitaji tiba ipi.


Mazingira Natural Products
Mbeya
Simu; +255 754 807401, +255 719 564276
Barua pepe; mnp.kaka@gmail.com

No comments:

Post a Comment